Mzunguko wa Hedhi

Imepitiwa/Imerekebishwa Imebadilishwa Jan 2026
v42964749_sw

Je, mzunguko wa hedhi ni nini?

Mzunguko wa hedhi ni mchakato ambao mfumo wa uzazi wa mwanamke hupitia kila mwezi ili kuachia yai kutoka kwenye ovari na kuweka uwezekano wa yeye kupata mimba.

Mzunguko wa hedhi (kuingia mwezini) ni kuvuja damu kila mwezi kutoka kwenye uke ambapo hutokea mwanzoni mwa kila mzunguko wa hedhi. Wakati wa hedhi, utando wa uterasi hutoka na kuachiwa kama damu ya hedhi.

Katika mzunguko wa hedhi wa kila mwezi:

  • Yai hukomaa na kutolewa (mchakato unaoitwa udondoshaji)

  • Utando wa uterasi huvimba pamoja na mishipa ya damu hivyo kuwa tayari kupokea yai ambalo limerutubishwa na shahawa za mwanaume

  • Yai lililotungishwa hujipachika kwenye utando wa uterasi na kuanza kukua AU

  • Yai lisipotungishwa, halijipachiki, nao utando wa uterasi hubambuka na kutolewa kama damu ya hedhi.

Siku za mzunguko wa hedhi huhesabiwa kuanzia siku ya kwanza ya mzunguko mmoja wa hedhi. Kwa kawaida mzunguko wa hedhi hudumu kati ya siku 25 na 35 lakini zinaweza kubadilika kati ya mwezi na mwezi. Kwa kawaida, kipindi cha hedhi hudumu kwa siku 3 hadi 7.

  • Wasichana huanza kupata mizunguko ya hedhi wakati wa kubalehe, takriban wakiwa na umri wa miaka 13, na huacha kupata hedhi wakati wa ukomo wa hedhi, takriban umri wa miaka 51.

  • Ovari huachia yai (kutaga yai) takribani siku 14 kabla ya kuanza kwa mzunguko wa hedhi

  • Mwanamke ana uwezekano mkubwa wa kupata ujauzito ikiwa atafanya ngono bila kutumia mpango wa uzazi katika siku 3 kabla ya utagaji mayai (takriban siku 17 kabla ya kuanza kwa hedhi).

Je, ni matatizo gani yanayoweza kutokea kwa mzunguko wa hedhi?

Kwa kawaida matatizo makubwa ya mzunguko wa hedhi ni pamoja na:

Sababu za kawaida zaidi za kukoma kwa mzunguko wa hedhi ni: