Kanusho
MAUDHUI YOTE, BILA KIKOMO IKIJUMUISHA TAARIFA, MAANDISHI, GRAFIKI, PICHA, NYENZO, PROGRAMU, AKILI MNEMBA (AI) VIPENGELE NA HUDUMA ZINGINE, ZILIZOJUMUISHWA KATIKA AU VINGINEVYO ZINAZOTOLEWA NA MIONGOZO (MAUDHUI), NI KWA AJILI YA KUTOA TAARIFA PEKEE, HAYAKUSUDIWI KUWA MAARIFA KAMILI, NA SI MBADALA YA USHAURI WA KIMATIBABU, UTAMBUZI WA UGONJWA AU MATIBABU. Miongozo haikukusudiwi kuwa mwongozo wa huduma ya matibabu ya mtu (watu) yeyote au mnyama (wanyama). Maudhui yaliyomo si mbadala wa maelezo ya dawa yanayotolewa na mtengenezaji wa dawa au bidhaa nyingine za afya (wakati mwingine hujulikana kama kibandiko cha kifurushi au lebo ya dawa); kabla ya kuagiza, kutoa, au kutumia dawa yoyote au bidhaa nyingine ya afya, wataalamu wa huduma ya afya na watumiaji wanashauriwa kupitia maelezo ya dawa yanayotolewa na mtengenezaji wa dawa hiyo au bidhaa ya huduma ya afya.
Kwa sababu ya mabadiliko ya mara kwa mara na utofauti katika taarifa za kitabibu, miongozo ya utendaji na viwango vya utendaji, Maudhui yanaweza kutofautiana na vyanzo tofauti vya taarifa za kitabibu au yanaweza kuwa yamepitwa na wakati. Makosa yanaweza kujitokeza wakati wa mchakato wa kuunda na kuchapisha Maudhui. Matumizi ya AI, ikijumuisha bila kikomo Utafutaji ulioboreshwa kwa AI wa Miongozo, ili kufanya muhtasari wa sehemu za au Maudhui yote au kuzalisha Maudhui yoyote ya ziada yanayotokana na kutumia sehemu za Maudhui yanaweza pia kusababisha makosa. Watumiaji wanapaswa kupitia vyanzo mbalimbali vya kuaminika vya taarifa za kitabibu.
Miongozo haiwezi kuthibitisha usahihi, ukamilifu, uwezo wake wa kuendana na wakati, ubora, au kufaa kwake kwa madhumuni yoyote ya maudhui au taarifa yoyote inayozalishwa na AI, ikijumuisha bila kikomo Utafutaji ulioboreshwa kwa AI wa Miongozo. Miongozo haiwajibiki kwa matokeo yoyote yenye makosa yanayotokana na dosari za AI, yakiwemo bila kikomo utafutaji wa AI ulioboreshwa wa Miongozo. UPATIKANAJI NA MATUMIZI YA AI, IKIWA NI PAMOJA NA BILA KIKOMO UTAFUTAJI ULIOBORESHWA NA AI WA MIONGOZO, HUTOLEWA BILA DHAMANA YA UFANISI AU UWEZO WA KUFAA KWA MADHUMUNI YOYOTE MAALUM AU DHAMANA YOYOTE ILE, ILIYO WAZI AU ISIYO WAZI. Kwa hali yoyote, Miongozo haitawajibika kwa uharibifu maalum, wa moja kwa moja, usio wa moja kwa moja au wa matokeo, malipo, madai, gharama, madai, ada za hasara au gharama za chanzo chochote au aina yoyote zinazotokana na matumizi ya AI, ikijumuisha bila kikomo Utafutaji ulioboreshwa kwa AI wa Miongozo. Miongozo haiwajibiki kwa uamuzi wowote utakaofanywa au kuchukuliwa na mtu (watu) yeyote au chombo (vyombo) chochote kwa msingi wa maudhui au taarifa yoyote iliyozalishwa na A, ikijumuisha bila kikomo Utafutaji uliboreshwa na AI wa Miongozo. Upatikanaji na matumizi ya AI, ikiwa ni pamoja na bila kikomo Utafutaji ulioboreshwa na AI wa Miongozo, hautengenezi uhusiano wowote wa daktari na mgonjwa au mahusiano mengine ya kitabibu, huduma za afya, kitaalam au ya msingi wa kibiashara. Watumiaji wa AI iliyojumuishwa ndani au vinginevyo iliyotolewa na Miongozo, ikijumuisha bila kikomo Utafutaji ulioboreshwa kwa AI wa Miongozo, wanapaswa kuripoti hitilafu au wasiwasi wowote katika majibu ya AI pamoja na maoni mengine yoyote kuhusu majibu ya AI kwa Miongozo kwa kutumia ukurasa ufuatao wa mawasiliano: Wasiliana nasi - Mwongozo wa MSD Toleo la Mtumiaji.
Si Mwongozo wala mhusika mwingine yeyote anayehusika katika utayarishaji, uchapishaji au usambazaji wa Miongozo hii atawajibika kwa uharibifu wowote maalum, utokanao na matokeo au wa mfano unaotokana na Miongozo kwa ujumla au sehemu yake kutokana na matumizi yoyote ya mtu (watu), chombo (vyombo) au mtumiaji (watumiaji) wengine wa au utegemezi wa Miongozo hiyo, ikijumuisha bila kikomo Miongozo ya AI iliyoboreshwa na taarifa iliyo ndani humo.
Miongozo imekusudiwa kuendana na utendaji wa kimatibabu na taarifa za kitabibu nchini Marekani. Nje ya Marekani, miongozo ya kiutendaji, viwango vya utendaji na maoni ya kitaalamu yanaweza kutofautiana. Watumiaji wa Miongozo ndani na nje ya Marekani wanashauriwa kushauriana na watoa huduma za matibabu wa ndani na kurejelea nyenzo za taarifa za matibabu.
Maudhui yametayarishwa mwanzo kwa Kiingereza. Tafsiri ya sehemu za au Maudhui yote kutoka lugha moja hadi nyingine inaweza kuleta makosa au tafsiri zisizo sahihi zinazobadilisha maana iliyokusudiwa ya Maudhui. Miongozo haidhibiti wala haiwajibiki kwa tafsiri, muhtasari, au michakato mingine ambayo inaweza kubadilisha Maudhui kutoka kwa chombo au kifaa chochote, ikijumuisha bila kikomo AI au programu za tafsiri za dijitali.
Kwa kiwango ambacho sehemu za Maudhui zimepewa leseni kutoka kwa wahusika wengine wa nje au viunganishi kuelekea katika rasilimali za wahusika wengine wa nje, Miongozo haidhibiti wala haiwajibiki kwa maudhui yoyote, ikijumuisha bila kikomo maelezo, maandishi, michoro, grafiki, nyenzo, programu, vipengele vya AI, na huduma zingine, zinazojumuishwa, zinazotolewa na, au zilizounganishwa na rasilimali za wahusika wengine wa nje.
Maudhui katika Miongozo hutolewa bila malipo kama mpango endelevu wa shirika la Merck Co., Inc., Rahway, NJ, USA, inayojulikana kama MSD nje ya Marekani na Kanada, (Kampuni) Miongozo haikusudiwi kutangaza, kuuza, kuuza au vinginevyo kutangaza bidhaa yoyote ya Kampuni au ya kampuni nyingine yoyote au mtu (watu). Maudhui hayajumuishi nyenzo zozote za masoko au mauzo au lebo yoyote ya dawa kwa bidhaa yoyote ya Kampuni au kwa bidhaa yoyote ya kampuni au mtu (watu) mwingine.
Kwa kutumia Maudhui ya Miongozo, ikijumuisha bila kikomo vipengele vyovyote vya AI, watumiaji wote wa Miongozo wanakubali kutii sheria za hakimiliki za Marekani na Kimataifa na sheria zingine zote zinazotumika zinazohusisha hakimiliki.