Wafanyikazi wa Miongozo

Maudhui yalibadilishwa mwisho Aug 2026

KAIMU MHARIRI-M-KUU

Monica R. Curtis, MD, MPH

Merck & Co., Inc., Rahway, NJ, USA; 
Mwalimu wa Matibabu, wa masaa, Shule ya Kimatibabu ya Harvard, na Daktari Msaidizi, Rheumatolojia, Hospitali ya Brigham na Wanawake

WAHARIRI MADAKTARI

Jeremy M. Archer, MD, MS
Merck & Co., Inc., Rahway, NJ, USA

Sairaman Nagarajan, MD, MPH
Merck & Co., Inc., Rahway, NJ, USA
Profesa Msaidizi wa Kliniki ya Kimatibabu (Adjunct), Chuo Kikuu cha Jimbo la New York Downstate Chuo Kikuu cha Sayanzi ya Afya

Erin V. Santa, MD, FAAD
Merck & Co., Inc., Rahway, NJ, USA

WAFANYIKAZI WAHARIRI

Karen T. Albright

Joanne P. Christopher

Crystal G. Norris 

Susan C. Short

Michelle A. Steigerwald

WAFANYIKAZI WA UCHAPISHAJI NA UZALISHAJI

Michael DeFerrari

Jennifer Doyle

Vahe Grigoryan

Caroline Harvey

Ahmad Ibrahim

Brian Konrad

Jamie Poole

Sheryl Olinsky Borg 

WAFANYIKAZI WA UTAFTAJI MASOKO NA HAMASISHO LA BRANDI

Adeyemi P. Adegoke

Leta S. Bracy

Kayla Marie Farrer

Keith Guse

Rucha Vyas

WACHANGIAJI WA UZALISHAJI 

Christopher C. Butts

David Goldmann, MD

Bram Greenberg, MD

H. Nancy Sokol, MD

Rebecca Vasquez, MD

MCHAKATO WA UHARIRI WA MIONGOZO

Manual imejitolea katika uwazi, uteteajiwa ubinadamu, na kutoa taarifa sahihi, zenye ushahidi, ambapo ndiyo njia ambayo maudhui ya kimatibabu kwenye Manual yameandikwa na matabibu na wataalamu wengine waliohitimu na hupitia ukaguzi wa kina wa uhariri na wa uhakiki. AI haiandiki au kuamua mapendekezo ya kimatibabu, ugunduzi, au taarifa za matibabu zilizomo kwenye Manual.


Maudhui ya miongozo yameundwa kwa kufuata mchakato sawa na vitabu na majarida ya matibabu yanayoheshimika zaidi. Hatua zinajumuisha

  1. Mwandishi wa nje
  2. Mhakiki Mtaalamu wa Nje
  3. Mfamakolojia mhakiki wa nje
  4. Daktari mhariri wa ndani
  5. Mwandishi wa kimatibabu wa ndani
  6. Mhariri-M-kuu
  7. Mhariri mtendaji
  8. Uhakiki wa mwisho na urekebishaji wa mwandishi

Waandishi wetu huru zaidi ya 300, ambao wote ni wataalamu katika nyanja yao, hutayarisha maudhui ya sura zao na kuzipeana kwa mmoja au zaidi ya wahakiki wataalamu wa kimatibabu ambao ni huru kwenye Almashauri ya Uhariri wa Miongozo (MSD) na wafanyikazi wa uhakiki. Wahakiki wataalamu, ambao wana usemi katika maeneo yao ya utaalamu na ambao vinginevyo hawahusiani na MSD, uhakiki maudhui hayo ili kuhakikisha ni makamilifu, sahihi, na yasiopendelea; wakati inawezekana, huomba nyongeza au marekebisho kwenye kazi ya mwandishi. Baada ya uhakiki wa mtaalamu, mwanafamakolojia mtaalamu wa nje ya MSD uhakiki dozi ya dawa na mapendekezo ili kuhakikisha ni sahihi. Baada ya hatua hizi za nje, wafanyikazi madaktari wa uhakiki wa ndani wa Miongozo na waandishi wa kimatibabu waliofanyiwa mafunzo uhakiki maudhui hayo ili kuona kama nyenzo yoyote (ikijumuisha midia-anuai na viungo vya nje) inapaswa kuongezwa, kufutwa, au kurekebishwa ili kuifanya kueleweka wazi zaidi wataalamu wa uuguzi wa kiafya ambao sio nyanja yao ya utaalamu (Toleo la Kiutaalamu) na watumiaji (Toleo la Watumiaji). Zaidi ya hayo, wahariri wote hawa wa ndani wa Miongozo uhariri maudhui ili kuhakikisha yanafikia viwango na mtindo wa kueleweka kwa wazi ambako Miongozi hii imejulikana kuwa navyo.