Watoa Maudhui
Maudhui yalibadilishwa mwisho Jun 2026
Leseni za Miongozo inapatia leseni baadhi ya aina za nyenzo za ziada za multimedia kutoka kwa vyanzo vya nje vinavyoaminika. Timu yetu ya uhariri hutathmini kila nyenzo kwa ajili ya usahihi wa kimatibabu kabla ya kuijumuisha pamoja na maudhui ya Miongonzo na hufanyia maudhui hayo marekebisho mara kwa mara ili kuhakikisha yanasalia kuwa sahihi, ya kisasa, yanayohusiana, na yanayopatikana ili kutumika. Katika baadhi ya visa nyenzo za wahusika wa nje hutolewa moja kwa moja kutoka kwa tovuti ya hao wahusika wa nje, na Miongozo hiyo haiwezi kuwa na hakikisho la usahihi au upatikanaji wazo iwapo kuna vipindi vya mabadiliko au masuala ya kiufundi.
Nyenzo za mhusika wa tatu zinahusisha:
- 3D4Medical
- A KYU Design
- Association of Women’s Health, Obstetric and Neonatal Nurses (AWHONN)
- BioDigital
- CTisus
- Elsevier
- Foundation Internet Services (Med Calc 3000)
- Global Health Media
- Osmosis from Elsevier
- Nucleus Medical Media
- RSi Communications
- Science Photo Library (SPL)
- Springer Healthcare