Ugonjwa Mkali wa Kuganda Tishu kwa Jalidi kwenye Mikono

Ugonjwa Mkali wa Kuganda Tishu kwa Jalidi kwenye Mikono

Malengelenge yenye majimaji yenye damu hutokea wakati wa ugonjwa mkali wa kuganda tishu kwa jalidi. Katika picha hii, malengelenge haya hasa yanaonekana kama malengelenge mausi zaidi na ya zambarau zaidi kwenye mzunguko na vidole vidogo kweye mkono wa kulia.

© Springer Science+Business Media